UZINDUZI WA BARABARA YA MKUU ROMBO-TARAKEA.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea kabla ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka
Mkuu Rombo hadi Tarakea Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya
Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya
kikazi ya siku nne.
No comments:
Post a Comment