Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisaidiwa na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph Selasini kukunjua pazia
kama ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo
hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa
wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku
nne.
No comments:
Post a Comment