Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipongezwa na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph Selasini kukunjua
pazia kama ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu
Rombo hadi Tarakea Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo
mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya
siku nne.
No comments:
Post a Comment