Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph Selasin katika
hafla ya ufunguzi rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi
Tarakea Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa
Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku nne.