Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na washika dau wa miundombinu wakikata utepe
ishara ya kufungua rasmi wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi
Tarakea Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa
Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku nne.
No comments:
Post a Comment