Barabara kuu (super highway) ya Nairobi kwenda Thika imefunguliwa rasmi jana na Rais Kibaki. Je, unahisi Bongo tutaweza kuwa na barabara kama hii? Kama ndiyo, lini?
Barabara kuu (super highway) ya Nairobi kwenda Thika imefunguliwa rasmi
jana na Rais Kibaki. Je, unahisi Bongo tutaweza kuwa na barabara kama
hii? Kama ndiyo, lini?
No comments:
Post a Comment