BUS LA DAR EXPRESS LAWAKA MOTO NJIAPANDA YA TANGA (SEGERA)
Basi la Dar
Express limepata
ajali ya kuungua moto jana asubuhi katika njia panda ya Dar, Arusha,
Tanga (Segera) hakuna
mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Katika ajali hiyo mizigo yote
iliteketea kwa moto huo ambapo abiria wengi waliokuwamo kwenye gari hilo
walikuwa ni wanafuzi. lilitokea Rombo mkoani kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment