Sehemu
ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika jana kwenye uwanja wa Mwembe
Togwa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo
la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia
Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na
baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa
No comments:
Post a Comment