Hili ndilo Gari alilopatanalo ajali marehemu Patrick Mafisango maeneo ya TAZARA jijini Dar.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba bwana Aden Rage amesema kuwa
taarifa za awali juu ya chanzo cha kifo cha mchezaji huyo zinasema kuwa
mchezaji huyo amekutwa na mauti akiwa anaendesha gari na kujaribu
kumkwepa mwendesha pikipiki.
Msiba huu unakuja wakati kocha wa timu ya Taifa ya Rwanda Milutin Sredovic 'Micho' akiwa amemteuwa kepteni wa zamani wa timu hiyo Hamada Ndikumana a.k.a 'Katauti' na Patrick Mafisango kujiunga na timu ya taifa hilo (AMAVUBI) kwaajili ya maandalizi ya nchi zitakazofuzu kwenda Brazil kwenye michuano ya Kombe la dunia 2014.
Kabla ya kuichezea Simba mchezaji huyo alitokea Azam Fc ya jijini Dar es salaam.
Patrick Mafisango is dead.

Mwenyezi Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu Patrick Mafisango.
No comments:
Post a Comment